MHIMBILI KWETU BLOGSPOT
KWA HABARI NA MATUKIO MOTOMOTO
Jumatatu, 5 Juni 2017
Jumanne, 29 Novemba 2016
Profesa Muhongo, Waziri Wa Nishati Zambia Wakutana Kuzungumzia Bomba La Tazama
Waziri
wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo na Waziri wa Nishati wa
Zambia, David Mabumba, wamekutana na kufanya mazungumzo kuhusu kuboresha
Bomba la Mafuta la TAZAMA ili liweze kuwanufaisha wananchi wa Tanzania
na Zambia kama ilivyokusudiwa.
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)