Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph
Magufuli akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es
salaam jana Januari 14, 2016. Kulia kwake ni Makamu wa Rais Mhe Samia
Suluhu Hassan na kushoto kwake ni Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa. Picha
na IKULU.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni