Jumatatu, 31 Agosti 2015

AJALI YATOKEA ENEO LA FOREST MPYA BARABARA KUU KUELEKEA ZAMBIA, LORI LIMEKAA VIBAYA , SIKU YA PILI HAKUNA ANAYE HANGAIKA NALO,NI HATARI

  Lori hilo likiwa eneo la tukio ambapo limepatia ajali na hakuna juhudi za kuliondoa
 
 Hii ni Mida ya Mchana jana bado Lilikuwepo na limekaa vibaya ambapo linaweza sababisha matatizo tena
 Lori hili jana usiku na namba wamezitoa ili isifahamike ni la nani na nani mmiliki wake
 Likiwa bado Barabarani usiku wa kuamkia leo
 Bado Lipo
Tunaomba wahusika mliangalie hilo wahusika.
Picha na Mbeya Yetu

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Jumla ya Mara Iliyotazamwa