Jumatatu, 31 Agosti 2015

PICHA LOWASSA ALIVYOWASILI MKOANI NJOMBE LEO

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akiwasili kwenye viwanja vya Shirika la Nyumba (National Housing) Mjini Njombe tayari kwa kuhutubia Mkutano wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu, anazoendelea kuzifanya kwa nchi nzima. Picha zote na Othman Michuzi, Njombe.

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia wananchi wa Mji wa Makambako, waliofurika kwa wingi wenye Polisi Makambako, Mkoani Mkoani Njombe leo Agosti 31, 2015, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni zake. Katika hotuba yake, Mh. Lowassa amewatoa hofu wana CCM wanaotaka kujiunga na Ukawa kutoogopa kuchukua uamuzi huo kwani huu ni mwaka wa mabadiliko. Pia amewaomba Watanzania wanaomuunga mkono katika mikutano yake ya hadhara kutoishia hapo na badala yake kujitokeza kwa wingi katika Uchaguzi wa Mwaka huu wa Oktoba 25 mwaka huu.

Sehemu ya wananchi wa Mji wa Makambako, wakishangilia hotuba ya Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akipongeza na baadhi ya Wagombea Udiwaki wa Kata mbali mbali za Mji wa Makambako, Mkoani Njombe baada ya kuhutubia Mkutano wake wa Kampeni.

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akimnadi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Makambako, Mhema Oraph, wakati wa Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Polisi Makambako, Mkoani Mkoani Njombe leo Agosti 31, 2015.

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwasili kwenye Uwanja wa Polisi Makambako, Mkoani Mkoani Njombe leo Agosti 31, 2015, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni, na kuhudhuliwa na umati wa wananchi wakazi wa maeneo mbali mbali ya Mji wa Makambako.

PICHA ZOTE KWA HISANI YA HABARI24.BLOGS

Mgombea urais wa Chadema kwa mwavuli wa Ukawa, Edward Lowassa amesema akichaguliwa kuwa rais wa awamu ya tano atatumia fedha itakayopatikana katika uzalishaji wa gesi kama sehemu ya kutekeleza ahadi ya elimu bure kuanzia shule ya msingi hadi Chuo Kikuu ambayo ipo katika ilani ya uchaguzi ya Ukawa, huku akisisitza, “Msiogope.” Akizungumza katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa kituo cha polisi cha mji wa Makambako mkoani hapa, Lowassa alisema mbali na gesi atatumia fedha zitakazopatika katika zao la pamba huku akihoji zilivyotumika fedha ambazo serikali ya awamu ya nne imekopa katika nchi wahisani. Kivutio kingine katika mkutano huo alikuwa Waziri Mkuu wa zamani, Frederick Sumaye ambaye alitumia mtindo wa kuwauliza wananchi, “CCM” na wao kujibu “Ni shiiiida”, kueleza mambo matatu yaliyofanywa na serikali ya CCM na kusababisha watanzania waishi kwa matabaka. “Tumetengeza ilani kiboko ambayo ndani ya miaka mitano Tanzania yetu itabadilika, lazima tupunguze tabaka kati ya tajiri na masikini kwa uchumi wa pamba, chai, dhahabu na gesi kwanini tushindwe. Mkitupa ridhaa na Mungu akikubali tukakwenda kasi na tutakuwa na maendeleo. Lowassa alisema akiwa rais kuanzia Januari mwakani wanafunzi hawatalipa chochote na elimu itakuwa bora, atahakikisha walimu wanalipwa madai yao yote, sambamba na watumishi wengine wa serikali. Akizungumza katika mkutano huo Sumaye alisema Watanzania wamepata shida mpaka kufikia wakati wanaamini shida ni sehemu ya maisha yao, huku akisema nchi ya Libya iliingia katika matatizo kwasababu utawala uliokuwepo ulikataa kuwapisha wengine kuongoza nchi na kukandamiza watu. Soma zaidi habari hii kesho kupitia Mwananchi E-Paper

Copy the BEST Traders and Make Money (One Click) : http://ow.ly/KNICZ

LOWASSA: MAPATO YA GEASI ITASOMESHA WANAFUNZI BURE Mgombea urais wa Chadema kwa mwavuli wa Ukawa, Edward Lowassa amesema akichaguliwa kuwa rais wa awamu ya tano atatumia fedha itakayopatikana katika uzalishaji wa gesi kama sehemu ya kutekeleza ahadi ya elimu bure kuanzia shule ya msingi hadi Chuo Kikuu ambayo ipo katika ilani ya uchaguzi ya Ukawa, huku akisisitza, “Msiogope.” Akizungumza katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa kituo cha polisi cha mji wa Makambako mkoani hapa, Lowassa alisema mbali na gesi atatumia fedha zitakazopatika katika zao la pamba huku akihoji zilivyotumika fedha ambazo serikali ya awamu ya nne imekopa katika nchi wahisani. Kivutio kingine katika mkutano huo alikuwa Waziri Mkuu wa zamani, Frederick Sumaye ambaye alitumia mtindo wa kuwauliza wananchi, “CCM” na wao kujibu “Ni shiiiida”, kueleza mambo matatu yaliyofanywa na serikali ya CCM na kusababisha watanzania waishi kwa matabaka. “Tumetengeza ilani kiboko ambayo ndani ya miaka mitano Tanzania yetu itabadilika, lazima tupunguze tabaka kati ya tajiri na masikini kwa uchumi wa pamba, chai, dhahabu na gesi kwanini tushindwe. Mkitupa ridhaa na Mungu akikubali tukakwenda kasi na tutakuwa na maendeleo. Lowassa alisema akiwa rais kuanzia Januari mwakani wanafunzi hawatalipa chochote na elimu itakuwa bora, atahakikisha walimu wanalipwa madai yao yote, sambamba na watumishi wengine wa serikali. Akizungumza katika mkutano huo Sumaye alisema Watanzania wamepata shida mpaka kufikia wakati wanaamini shida ni sehemu ya maisha yao, huku akisema nchi ya Libya iliingia katika matatizo kwasababu utawala uliokuwepo ulikataa kuwapisha wengine kuongoza nchi na kukandamiza watu. Soma zaidi habari hii kesho kupitia Mwananchi E-Paper

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Jumla ya Mara Iliyotazamwa