Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akifuatana na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Zanzibar Khatib Abrahman
Khatib wakati alipowasilikati eneo la Malindi Mjini Zanzibar katika
zoezi ka Usafi wa mazingira katika kuadhimisha miaka 54 ya Muungano wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lililoshirikisha Viongozi na Wananchi
mbali mbali nchini.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akizoa taka katika zoezi ka Usafi wa mazingira katika kuadhimisha miaka
54 ya Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania eneo la Malindi Mjini
Unguja leo zoezi ambalo liliwashirikisha Viongozi na Wananchi mbali
mbali nchini (kushoto) Waziri wa Ardhi,Maji,Makaazi na Nishati Ramadhan
Abdalla Shaaban

Abdalla Shaaban,
Baadhi ya Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ walishiriki katika zoezi
ka Usafi wa mazingira katika kuadhimisha miaka 54 ya Muungano wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania eneo la Malindi Mjini Unguja leo zoezi
ambalo liliwashirikisha Viongozi na Wananchi mbali mbali nchini.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akimimina taka katika kontena baada ya kufanya usafi wa
madhingira leo wakati wa zoezi hilo lililofanyika nchi nzima katika
kuadhimisha miaka 54 ya Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
ikiwemo eneo la Malindi Mjini Unguja,ambapo viongozi mbali mbali
walijumuika katika kufanikisha kazi hiyo
Baadhi ya Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ walishiriki katika zoezi
ka Usafi wa mazingira katika kuadhimisha miaka 54 ya Muungano wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania eneo la Malindi Mjini Unguja leo zoezi
ambalo liliwashirikisha Viongozi na Wananchi mbali mbali nchin
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akitoa nasaha zake baada ya kumalizika kwa zoezi la kufanya
usafi wa madhingira leo wakati wa zoezi hilo lililofanyika nchi nzima
katika kuadhimisha miaka 54 ya Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania ikiwemo eneo la Malindi Mjini Unguja,ambapo viongozi mbali
mbali walijumuika katika kufanikisha kazi hiyo,(kushoto)Mstahiki Meya wa Manispaa ya Zanzibar Khatib Abrahman Khatib, [Picha na Ikulu.]
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni