Sad News: Basi la Takbir Lagongana na Lori Usiku Huu na Kuua Watu Kadhaa
Habari
zilizotufikia usiku huu zinaarifu kuwa watu kadhaa wamepoteza maisha
katika ajali mbaya iliyotokea baada ya basi la abiria la Takbir lenye
namba za usajili T 230 BRJ lililokuwa likitokea jijini Dar es Salaam
kwenda Mwanza kugongana na lori eneo la Shelui, kijiji cha Kizonzo
omkoani Singida.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni