Ijumaa, 15 Januari 2016
Wizara ya Nishati Yalikana Gazeti la Mtanzania
WIZARA
ya Nishati na Madini imeikanusha habari iliyotolewa kwenye gazeti la
Mtanzania la tarehe 14 Januari 2016 kichwa chake cha habari
kilichosomeka “HARUFU YA JIPU MRADI WA UMEME” aliyoandika mwandishi wa
gazeti hilo Jonas.
Agizo la Serikali la Kukamatwa Waliomuozesha Binti wa Miaka 13
(PRESS RELEASE).
WIZARA YAAGIZA KUKAMATAWA KWA WALIOMWOZESHA MTOTO WA MIAKA 13 WILAYA YA KISHAPU, MKOA WA SHINYANGA
Kesi ya Kafulila: Mahakama Yatupilia Mbali Pingamizi la Wakili wa Serikali
Lowassa Atangaza Kugombea Tena Urais Mwaka 2020
WAZIRI
Mkuu wa zamani, Edward Lowassa jana alitangaza kwamba anajiandaa
kugombea tena urais utakapofika uchaguzi mkuu ujao Oktoba 2020.
Alhamisi, 7 Januari 2016
RAIS DKT. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS MSTAAFU DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akimkaribisha Rais Mstaafu wa Awamu ya nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete,
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph
Magufuli akizungumza na Rais Mstaafu wa Awamu ya nne, Dkt. Jakaya Mrisho
Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam leo Januari 6, 2016.
Mahakama Kuu Kitengo Cha Ardhi Yazuia Jumba la Mchungaji Lwakatare Kubomolewa
MAHAKAMA Kuu Kitengo cha Ardhi imezuia nyumba anayoishi Mchungaji wa
Kanisa la Assemblies of God Mikocheni, Dk. Getrude Lwakatare
kubomolewa.
Bilioni 18.77 Zimetumwa Kwenye Akaunti Za Shule Za Msingi Na Sekondari Hapa Nchini Kwa Ajili ya Wanafunzi Kusoma Bure
KIASI
cha shilingi bilioni 18.77 zimetumwa kwenye akaunti za shule za Msingi
na Sekondari za halmashauri zote hapa nchini kwaajili ya wanafunzi
kusoma bure.
Rais Magufuli Akutana Na Kufanya Mazungumnzo Na Rais Mstaafu, Benjamini Mkapa Na Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Warioba Ikulu Jijini Dar Es Salaam
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea
Rais Mstaafu wa Awamu ya tatu, Benjamini William Mkapa Ikulu jijini Dar
es Salaam January 7,2016.
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)
Jumla ya Mara Iliyotazamwa
12,371