Rais wa Urusi
Vladimir Putin ametoa amri kwa wanajeshi walioko Syria kurejea nyumbani
mara moja kwa sababu tayari wametekeleza asilimia kubwa ya malengo yao.
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo NEWS. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo NEWS. Onyesha machapisho yote
Jumatatu, 14 Machi 2016
Jumapili, 14 Februari 2016
CUF: Maalim Seif Sharif Hamad Akishinda Uchaguzi wa Marudio Zanzibar Hatakubaliana Na Matokeo
Chama cha Wananchi (CUF) kimesema ikitokea Makamu wa Kwanza wa Rais wa
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Maalim Seif Sharrif Hamad ameshinda kwa
kupigiwa kura na akaibuka mshindi wa kiti cha urais katika uchaguzi wa
marudio utakaofanyika Machi 20, hatakwenda kuapishwa.
Ijumaa, 15 Januari 2016
Wizara ya Nishati Yalikana Gazeti la Mtanzania
WIZARA
ya Nishati na Madini imeikanusha habari iliyotolewa kwenye gazeti la
Mtanzania la tarehe 14 Januari 2016 kichwa chake cha habari
kilichosomeka “HARUFU YA JIPU MRADI WA UMEME” aliyoandika mwandishi wa
gazeti hilo Jonas.
Jumanne, 1 Desemba 2015
Sad News: Basi la Takbir Lagongana na Lori Usiku Huu na Kuua Watu Kadhaa
Habari
zilizotufikia usiku huu zinaarifu kuwa watu kadhaa wamepoteza maisha
katika ajali mbaya iliyotokea baada ya basi la abiria la Takbir lenye
namba za usajili T 230 BRJ lililokuwa likitokea jijini Dar es Salaam
kwenda Mwanza kugongana na lori eneo la Shelui, kijiji cha Kizonzo
omkoani Singida.
MREMA ASEMA HAJUTII KUMNADI RAIS MAGUFULI
MWENYEKITI
wa Taifa wa chama cha siasa cha Tanzania Labour (TLP), Augustine Mrema
amesema hakufanya makosa na wala hajutii kumnadi Rais John Magufuli
kwenye kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa sababu alitambua Watanzania
wamelamba dume la maendeleo.
Jumatatu, 31 Agosti 2015
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI JESHI LA POLISI
TANGAZO
KWA UMMA.
JESHI LA POLISI
TANZANIA LINAWAITA KWENYE USAILI WAHITIMU WALIOORODHESHWA WA SHAHADA,
STASHAHADA NA ASTASHAHADA. USAILI UTAFANYIKA KUANZIA TAREHE 03.09.2015 HADI TAREHE 04.09.2015 KUANZIA SAA MBILI ASUBUHI HADI SAA KUMI JIONI KATIKA MAENEO
YAFUATAYO:-
·
FANI YA UTAWALA, UCHUMI, USIMAMIZI WA
SHERIA NA UTEKELEZAJI [BALE], UALIMU, UANDISHI HABARI, UHANDISI MADINI [MINING
ENGINEERING], UGAVI, LUGHA, USHAURI NASIHI, KATIBU MUKTASI, LAND SURVEY
CATHOGRAPHER NA GEOMATICS WATAFANYA USAILI
KATIKA CHUO CHA TAALUMA YA POLISI DAR ES SALAAM [DPA] KILICHOPO KANDO KANDO YA
BARABARA YA KILWA KURASINI JIJINI DAR ES SALAAM.
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)



