Mwenyekiti
wa chama cha Demokrsaia na Maendeleo (CHADEMA) akiwasili uwanja wa
ndege jijini Mwanza.kwaajili ya mkutano wa baraza kuu CHADEMA ambao
utamtangaza Katibu mkuu wa chama hicho kuchukua mikoba ya Dr. Slaa
Mwenyekiti Freeman Mbowe akisalimiana na viongozi mbalimbali wa CHADEMA mkoa wa Mwanza waliofika kumlaki uwanja wa ndege
Mwenyekiti wa baraza la wazee akiwasili uwanja wa ndege mwanza
Mwenyekiti
wa chadema akiwasili hotel ya Gold Crest ambako mkutano wa baraza kuu
chadema utafanyika.Kulia ni afisa habari wa chadema Tumaini Makene
Makamu katibu chadema Mh Salum Mwalimu akimpokea mwenyekiti
Mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo akijadili jambo na makamu katibu
Makamu katibu Mh Salum Mwalimu akimlaki kwa bashasha kubwa Makamu Mwenyekiti CHADEMA,Tanzania visiwani
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni