Rais wa Urusi
Vladimir Putin ametoa amri kwa wanajeshi walioko Syria kurejea nyumbani
mara moja kwa sababu tayari wametekeleza asilimia kubwa ya malengo yao.
Jumatatu, 14 Machi 2016
Walimu Wanaotuhumiwa Kufanya Mapenzi na Wanafunzi Jijini Mwanza Waundiwa Kamati Maalum
Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Mkoa wa Mwanza kimeunda kamati
kuchunguza tuhuma dhidi ya baadhi ya walimu wa Shule ya Sekondari Mihama
wilayani Ilemala kujamiiana na wanafunzi wao.
Makahaba 287 Pamoja na Wateja Wao Watiwa Mbaroni Jijini Dar es Salaam
Jeshi
la polisi kanda maalum ya Dar es salaam limefanikiwa kuwakamata jumla
ya watu 287 ambao ni dada poa pamoja na kaka poa katika operation maalum
iliyofanyika maneo mbalimbali ya Jiji hilo.
Alhamisi, 10 Machi 2016
Rais Magufuli Afanya Ziara Ya Kustukiza Benki Kuu (BOT) Jijini Dar Es Salaam Leo
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefanya
ziara ya kushitukiza katika Benki Kuu ya Tanzania (BOT), ambapo pamoja
na mambo mengine ameiagiza Benki hiyo kusitisha mara moja ulipaji wa
malimbikizo ya malipo ambayo tayari yalishaidhinishwa (Ex-Checker) na
badala yake yarejeshwe Wizara ya fedha na Mipango kwa ajili ya kufanyiwa
uhakiki.
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe Keshawasili Jijini Mwanza Kwa Ajili ya Kikao cha Kumpata Mrithi wa Dr. Slaa
Mwenyekiti
wa chama cha Demokrsaia na Maendeleo (CHADEMA) akiwasili uwanja wa
ndege jijini Mwanza.kwaajili ya mkutano wa baraza kuu CHADEMA ambao
utamtangaza Katibu mkuu wa chama hicho kuchukua mikoba ya Dr. Slaa
Mwenyekiti Freeman Mbowe akisalimiana na viongozi mbalimbali wa CHADEMA mkoa wa Mwanza waliofika kumlaki uwanja wa ndege
Jumatano, 9 Machi 2016
Ajali Mbaya Iliyohusisha Daladala na Malori Mawili Yaua Watu 4 na Kujeruhi 25 Jijini Dar es Salaam
Ajali
Mbaya imetokea leo asubuhi eneo la Tabata Matumbi jijini Dar es Salaam
ikihusisha malori mawili na daladala iliyo kuwa ikitokea Gongo la Mboto
kuelekea Ubungo
Ijumaa, 4 Machi 2016
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)