Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi katika
Kata ya Masumbwe, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya
CCM na uhai wa Chama katika wilaya ya Mbogwe mkoani Geita, jana, Juni
17, 2015. (Picha na Bashir Nkoromo)
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia mkutano wa
Katibu Mkuu wa CCM Abdylrahman Kinana uliofanyika katika kata ya
Masumbwe, wilayani Mbogwe mkoani Geita, jana Juni 17, 2015.
Wananchi wakimshangilia Katibu Mkuu wa CCM Abdlrahman Kinana
alipohutubia maelfu ya watu katika mkutano wa hadhara uliofanya katik
kata ya Masumbwe, utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama katika
wilaya ya Mbogwe mkoani Geita, jana, Juni 17, 2015.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni