Mbunge
wa Jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassar akisalimiana na rubani wa
Helkopta wakati anaanza ziara ya kuhamaisha zoezi la uandikishaji katika
daftari la kudumu la wapiga kura kwa mfumo mpya wa BVR.
Mbunge
wa Jimbo la Arumeru Mashariki ,Jshua Nassar akizungumza na wananchi
katika kata ya Shambarai Burka wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika
katika kata hiyo kuhasisha wananchi kujitokeza kujiandikisha katika
daftarai la kudumu la wapiga kura.
Baaadhi ya wananchi wakiwa wamembeba Mbunge Joshua Nassar mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Shambarai Burka.
Mbunge
Joshua Nassar akitelemka kutoka katika helkopta wakati alipofika katika
kata ya Shambalai Burka kwa ajili ya kuhamasisha wananchi kujitokeza
kujiandikisha.
Mbunge Joshua Nassar akisalimiana na mmoja wa watoto waliojitokeza kumpokea.
Kundi la kina mama pia walikuwa miongoni wananchi waliojitokeza kumpokea Mbunge Nassar.
Mbunge Joshua Nassar akiwa na viongozi wengine wa Chadema wilaya ya Arumeru.
Mwenyekiti
wa Chadema wilaya ya Arumeru ,Gadiel Mwenda akizungumza katika mkutano
uliofanyika kata ya Shambarai Burka kuhamasisha wanachi kujitokeza
katika zoezi la uandikishwaji.
Mbunge
Nassar pia alitumia mkutao huo kuwaonesha wananchi magari mawili ya
kubeba wagonjwa aliyotoa kwa ajili ya Halmashauri ya wilaya ya Arumeru.
Baadhi ya wananchi waliojitokeza katika mkutano huo.
Magari mawili ya kubebea wagonjwa yaliyotolewa na Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki kwa ajili ya watu wa jimbo hilo.
Mbunge
Nassar akiwaapisha wananchi ikiwa ni moja ya hamasa kujitokeza katika
kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura.
Mbunge Nassar akiondoka katika uwanja huo mara baada ya kumalizza mkutano wa hadhara.
Na Dixon Busagaga waKanda ya Kaskazini.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni