Mmoja wa wana CCM waliomdhamini Mh. Lowassa, mkoani Mtwara, akimuombea dua
Mh. Lowassa, (mwenye nywele nyeupe juu kulia), akitoa shukrani zake
kwa wana CCM na maelfu ya wakazi wa mkoa wa Lindi, waliofurika kwenye
ofisi za ccm mkoani humo, alkipofika kuomba wana CCM wa kumdhamini.
Mkoani Lindi alipata udhamini wa wana CCM 3, 279
Umati wa watu waliofurika ofisi za CCM mkoani Lindi, kumshuhudia Mh. Lowassa alipofika kuomba wadhamini
Mh. Lowassa, akiondoka ofisi za CCM mkoani Lindi baada ya kukamilisha zoezi la kuomba wadhamini
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni