Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya M uungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal akisaini kitabu cha kumbukukmbu kufuatia kifo cha mama mzazi wa
Jaji Mkuu mstaafu Augustino Ramadhani nyumbani kwake Kimara leo Februar
06, 2015 alipofika kwa ajili ya kumfariji.
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya M uungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal akiwafariji wana familia ya Jaji Mkuu mstaafu Augustino Ramadhani
alipomtembelea nyumbani kwake Kimara leo Februar 06, 2015, kutokana na
kufiwa na mama yake mzazi.
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal
akizungumza na Jaji Mkuu mstaafu Augustino leo alipomtembelea nyumbani
kwake kimara leo Februar 06, 2015 kwa ajili ya kumfariji kutokana na
kufiwa na mama yake mzazi.
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akiagana na Jaji Mkuu mstaafu Augustino Ramadhani Baada ya
kumfariji kutokana na kufiwa na mama yake mzazi alipomtembelea nyumbani
kwake Kimara leo Februar 06, 2015. (Picha na OMR)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni