Rais
wa Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha mgeni wake Ikulu Rais wa
Ujerumani Mhe. Joachim Gauck ambaye ameongozana na mke wake Bibi schadt
leo tarehe.03.02.2015.
Rais
wa Jakaya Mrisho Kikwete akimtambusha Rais wa Ujerumani Mhe. Joachim
Gauck kwa viongozi mbalimbali wa kitaifa waliojitokeza kumpekea leo
tarehe.03.02.2015 katika viwanja vya Ikulu.
Rais
wa Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na mgeni wake Rais wa Ujerumani Mhe.
Joachim Gauck wakipata mapokezi kwa kuimbwa kwa nyimbo za taifa za
mataifa hayo mawili.
Rais
wa Ujerumani Mhe. Joachim Gauck akikagua gwaride la heshima
lililoandaliwa na kikosi cha jeshi la wananchi wa Tanzania kwa ajili
yake leo katika viwanja vya Ikulu
Rais
wa Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na ujembe kutoka ujerumani
uliondamana na Rais wa Ujerumani Mhe. Joachim Gauck wakati Rais huyo
alipowasili Ikulu.
Rais
wa Ujerumani Mhe. Joachim Gauck akipokelewa na wanafanyakazi wa
Ikulu,wananchi mbalimbali pamoja na wanafunzi wa shule mbalimbali za
mkoawa wa Dar es salaam waliojitokeza viwanja vya Ikulu leo
tarehe.03.02.2015 kumpokea.
Rais wa Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Rais wa Ujerumani Mhe. Joachim Gauck Ikulu na kufanyanaye mazungumzo.
Rais
wa Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mazungumzo na Rais wa Ujerumani Mhe.
Joachim Gauck pamoja na ujumbe wake . (PICHA ZOTE NA FREDDY MARO)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni