Ijumaa, 6 Februari 2015

MASHABIKI WA WEMA SEPETU WAPANIC MARA BAADA YA DIAMOND THE PLATNUMZ KUPOST PICHA NA KUTAKA MASHABIKI WAKE WAMCHAGULIE MTOTO WA KUPATA




Baada ya diamond the platnumz kupost picha na kuwaambia mashabiki wamchagulie kama anataka mtoto wa kiume au wa kike, katika mtandao wa kijamii wa instagram  ilioneka moja wa shabiki wa wema huko insta analotumia jina la @wemaselfie hakukubaliana na kitendo hicho na kuyaandika maneno ya fuatayo: Yani sinawahi kuona.. mtuu anae pend attention kama blaza domo... dah... sumtz na wish wa tanzania
wampoteze...! Juzi kati ulipo post hile pic ya Utrasound... "i cnt wait to meet u chibu junior" jana unapost... pic ya watoto wa 2 " which baby r u wishin us to have?" hivi... unajua maana ya.JUNIOR.ao umevamiaa. Junior ni.mtoto wa kiume....jana u wanted to get ppl's attention...smh! Hivi kwanin huwezi kua kama.wasani wenzio...wanafanya mambo yao kimya kimya... blaza najua ukimua kuwa na privacy ya maisha yako... unaweza...ume safiri kwenda India.. na promo hujafanya..."INDIA IM OWN MY WAY" kwa sababu..unajua ni sababu gani..ilo.kupeleka huko..india...!! leo.. unapost eti.una show...sio mbaya... ila hio show...umeipata ghafla..na wala... huja safiri... kwa sababu ya hio show...! Ingekua ni kwasababu ya show... unge safiri na crew..! Kua na privacy ya maisha yako...hivi toka ulipo hold headline za magazeti hujachoka tu? Ila nakuelewa... ur so...uneducated...!

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Jumla ya Mara Iliyotazamwa