Jumatano, 4 Februari 2015
Moja ya story za mitandaoni, ni dalili za mgogoro wa Jay na Bey
Mara nyingi mastaa hawa Beyonce na Jay Z wamekuwa ni watu wa furaha na wakati wote huwa pamoja lakini ni mara chache kwa wawili hawa kuwakuta wakiwa wanagombana katika sehemu yenye mkusanyiko wa watu.
Wakiwa ndani ya mgahawa wa Sushi iliopo LA wakipata chakula walionekana kutofautiana huku Bey akionekana kukasirika na kuwa mkali baada ya kuanzisha ugomvi huo dhidi ya mumewe.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni