Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo MICHEZO. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo MICHEZO. Onyesha machapisho yote

Alhamisi, 30 Aprili 2015

Yanga kuibeba Simba CAF?


BAADA ya watani zao wa jadi Yanga kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu vita ya kuwania kushiriki michuano ya kimataifa sasa mwakani imesalia kwa vigogo wengine wa soka nchini Simba SC na Azam FC.

WAZIRI wa Habari, Vijana, Utamuduni na Michezo, Dk. Fennela Mukangara Kuikabidhi Yanga kombe


WAZIRI wa Habari, Vijana Utamuduni na Michezo, Dk. Fennela Mukangara anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika sherehe za kukabidhi Kombe la Ubingwa

TFF Yatembeza Adhabu kali Ligi Kuu


MWAMUZI wa mechi kati ya Azam FC na Kagera Sugar, Stephen Makuka na msaidizi wake namba mbili Said Mnonga wameondolewa kwenye orodha za waamuzi wa Ligi Kuu na kufungiwa kwa muda wa mwaka mmoja baada ya kushindwa kumudu mchezo huo.

Kaseja, Mgosi Wagoma Kurudi Simba


WAKATI kukiwa na tetesi za Simba kutaka kuwarudisha kundini wachezaji wake wa zamani Juma Kaseja na Mussa Hassan ‘Mgosi’ ili kuimarisha kikosi chao

Ijumaa, 20 Machi 2015

Mashabiki wa Roma wakimbia uwanjani,wachezaji wafanya kazi ya ziada kuwaomba radhi.

1
Kiungo Danielle De Rossi akizungumza na mashabiki wa Roma…….

Mashabiki wa klabu ya As Roma ya nchini Italia walikimbia uwanjani baada ya kuishuhudia timu yao ikiwa nyuma kwa mabao 3:0 baada ya dakika 22 kwenye mchezo wa marejeano wa raundi ya 16 bora ya kombe ya Europa dhidi ya ndugu zao Fiorentina.

2
Nahodha Francesco Totti ambaye jana hakucheza ilimbidi

Jumatano, 11 Machi 2015

BannerFans.com MWENYEKITI WA UDP JOHN CHEYO AWAKARIBISHA AKINA ZITTO KABWE KUWANIA URAIS KATIKA UCHAGUZI MKUU WA OKTOBA 2015 KUPITIA CHAMA CHAKE. 11 Mar 2015 / 0 comments BREAKING NEWS !!! KONTENA LA LORI LAANGUKIA BASI LA ABIRIA NA KUWAKANDAMIZA BAADA YA KUTOKEA AJALI YA BARABARANI IRINGA. 11 Mar 2015 / 0 comments HOFU YA UFISADI YAMFANYA WAZIRI WA UCHUKUZI KUZUIA UINGIZAJI MABEHEWA 124 YA MIZIGO YA KAMPUNI YA RELI TANZANIA. 11 Mar 2015 / 0 comments KUTOKA KWENYE MAGAZETI YA UDAKU JUMATANO YA MARCHI 11/ 2015, IKIWA NA VICHWA VIKUU VYA HABARI. 11 Mar 2015 / 0 comments JESHI LA POLISI RUKWA LAWATOLEA UVIVU WAGANGA WA JADI, WAWASWEKA LUPANGO TUHUMA ZA UKATILI WA KUKATWA KIGANJA CHA MKONO KWA ALBINO. 11 Mar 2015 / 0 comments HIKI NDICHO KINACHODAIWA KUSABABISHA ZITTO KABWE KUSHINDWA KESI MAHAKAMA !. 10 Mar 2015 / 0 comments BREAKING NEWS!! ZITTO KABWE AVULIWA RASMI UANACHAMA CHADEMA. 10 Mar 2015 / 0 comments JK AFICHUA SIRI UTAWALA WAKE KWA WANAWAKE KIPINDI CHA MIAKA 10. 10 Mar 2015 / 0 comments KUTOKA KWENYE MAGAZETI YA HARDNEWS JUMANNE YA MARCHI 10 / 2015, IKIWA NA VICHWA VIKUU VYA HABARI. 10 Mar 2015 / 0 comments MWANAFUNZI WA SEKONDARI AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUMNYAMG'ANYA SILAHA ASKARI JIJINI TANGA. 10 Mar 2015 / 0 comments MWENYEKITI WA UDP JOHN CHEYO AWAKARIBISHA AKINA ZITTO KABWE KUWANIA URAIS KATIKA UCHAGUZI MKUU WA OKTOBA 2015 KUPITIA CHAMA CHAKE. BREAKING NEWS !!! KONTENA LA LORI LAANGUKIA BASI LA ABIRIA NA KUWAKANDAMIZA BAADA YA KUTOKEA AJALI YA BARABARANI IRINGA. HOFU YA UFISADI YAMFANYA WAZIRI WA UCHUKUZI KUZUIA UINGIZAJI MABEHEWA 124 YA MIZIGO YA KAMPUNI YA RELI TANZANIA. KUTOKA KWENYE MAGAZETI YA UDAKU JUMATANO YA MARCHI 11/ 2015, IKIWA NA VICHWA VIKUU VYA HABARI. JESHI LA POLISI RUKWA LAWATOLEA UVIVU WAGANGA WA JADI, WAWASWEKA LUPANGO TUHUMA ZA UKATILI WA KUKATWA KIGANJA CHA MKONO KWA ALBINO. HIKI NDICHO KINACHODAIWA KUSABABISHA ZITTO KABWE KUSHINDWA KESI MAHAKAMA !. BREAKING NEWS!! ZITTO KABWE AVULIWA RASMI UANACHAMA CHADEMA. JK AFICHUA SIRI UTAWALA WAKE KWA WANAWAKE KIPINDI CHA MIAKA 10. KUTOKA KWENYE MAGAZETI YA HARDNEWS JUMANNE YA MARCHI 10 / 2015, IKIWA NA VICHWA VIKUU VYA HABARI. MWANAFUNZI WA SEKONDARI AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUMNYAMG'ANYA SILAHA ASKARI JIJINI TANGA. BREAKING NEWS !!! KOCHA MKUU WA KLABU YA POLISI MORO SC MOHAMED RISHARD ADOLP AFUKUZWA KAZI.



Kocha mkuu wa klabu ya Polisi Moro SC, Mohamed Rishard "Adolf" akitoa maelekezo kwa wachezaji wake wakati waa mazoezi ya klabu hiyo katika uwanja wa jamhuri Morogoro, PICHA/MTANDA BLOG.

Kocha mkuu wa klabu ya Polisi Moro SC, Mohamed Rishard Adolp amefungashiwa virago na uongozi wa klabu hiyo kufuatia kile kilichoonekana kuwa timu yao kushindwa kufanya vizuri katika ligi kuu tanzania bara msimu wa mwaka 2014/2015 tofauti na malengo waliokubaliana nayo.

Kwa taarifa zaidi endelea kufuatia..............

Jumatano, 4 Februari 2015

SAMUEL ETO'O NI MAJANGA TUPU!

Ikiwa imepita wiki moja tu tangu asajiliwe na klabu ya Italia ya Sampdoria, mshambuliaji wa zamani wa kimataifa wa Cameroon Samuel Eto’o ameripotiwa kuwa kwenye utata wa kutaka kuihama klabu hiyo baada ya kutoelewana na kocha wake.

Ijumaa, 23 Januari 2015

YANGA NOMA SANA! TFF WATEKELEZA AGIZO KUMFUNGIA REFA TEOFILE

IMG_0086
Na Bertha Lumala
Yanga SC noma sana! Inachokisema TFF wanafuata na kutekeleza. Ndivyo unacyoweza kusema. Ulikumbuka tamko la jana la Yanga SC kuhusu kubaguliwa na kukabwa koo kwa mshambuliaji

Ijumaa, 16 Januari 2015

REAL MADRID YATOKA SARE NA ATHELETICO FERNANDO TORRES ARUDI

Fernando Torres celebrates opening the scoring for Atletico Madrid after just 49 seconds at theĀ Bernabeu

Kocha wa Atletico Madrid Diego Simeone amesema Fernando Torres amerejea kuwa ''mwanaume'' ndivyo alivyomuita hivyo baada ya mshambuliaji huyo kufunga magoli yake ya kwanza tangu alipojiunga na Atletico madrid.
Torres enjoyed a slice of good fortune as goalkeeper Keylor Navas deflected the ball into the net for his second goal
Mchezaji wa kimataifa wa Uhispania

Jumatatu, 22 Desemba 2014

RAHIM STERLING AKABIDHIWA TUZO YAKE


Raheem Sterling is presented with the European Golden Boy award on the pitch before Arsenal clash

Mshambuliaji kinda wa Liverpool, Raheem Sterling akiwa ameshika tuzo yake ya Mwanasoka Bora chipukizi wa Ulaya mwaka 2014 baada ya kukabidhiwa jana Uwanja wa Anfield kabla ya timu yake hiyo kumenyana na Arsenal katika mchezo wa Ligi Kuu ya England uliomalizika kwa sare ya 2-2.

AZAM FC YAPANGWA NA EL MERREKH YA SUDAN KWENYE CAF CHAMPIONS LEAGUE


AZAMMMMM

Ratiba ya michuano kombe la klabu bingwa barani Afrika imepangwa leo ambapo mabingwa wa Tanzania Bara na wawakilishi wa Tanzania Bara Azam FC imepangwa kupambana na El Merrekh ya Sudan.
azammm
Ikumbukwe timu hizo zilikutana kwenye hatua ya robo fainali ya michuano ya kombe la Kagame na El merrekh ilifanikiwa kushinda mchezo huo kwa mikwaju ya penati baada ya dakika 90 kumalizika kwa timu hizo kushindwa kufungana.
Taarifa zaidi zitafuta………

Jumapili, 14 Desemba 2014

MANCHESTER YNITED YAICHAPA LIVERPOOL 3


Wayne Rooney slides in to join his fellow goalscorers Juan Mata and Robin van Persie after the latter finished off their third against Liverpool

SIMBA YAWASAINISHA WAGANDA WAWILI


seru

Simon Sserunkuma akisaini fomu za Simba
Timu ya Simba imekatisha mkataba na wachezaji wake wawili

MAYWEATHER ATHIBITISHA; "NITAZIPIGA NA PACQUIAO MEI 2, 2005"

Floyd Mayweather's has confirmed that he will fight with Manny Pacquiao in 2015

Floyd Mayweather amethibitisha pambano lake na Manny Pacquiao litafanyika mwaka 2015
HATIMAYE bondia Floyd Mayweather Jnr ametaja Mei 2 mwakani kuwa tare he ya pambano lake na Manny Pacquiao.Tetesi juu ya ujio wa poambano hilo la

SIMBA SC YAICHAPA YANGA 2-0 MTANI JEMBE

Mshambuliaji wa Simba SC, Emmanuel Okwi akiwatoka mabeki wa Yanga SC, Kevin Yondan aliyelala chini na Juma Abdul 
Na BIN ZUBERY
SIMBA SC imeendeleza

SIMBA YAINYOA YANGA 2-0, MASHABIKI LUKUKI WAZIMIA UWANJANI


 
Kocha wa Simba, Patrick Phiri akisalimiana na kocha wa Yanga, Marcio Maximo kabla ya mchezo. (Picha zote na
Francis Dande)
Kikosi cha Yanga.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEihxA51qcM-p5yCr9qdf7aRDTUlVXp9_FQNyGkeCRnPx02UAsTTv4xDIzBkj7Y_-luarGBGYhECrUa0Nc_k4314y1Ifi6Q5iOfJ5qH69EqmjUPfgrv1KPm6omBiGX7qo_ijA9XtAh5DwLFz/s1600/DSC_0922.JPGKikosi cha YangaEmmanuel Okwi akiomba dua wakati akiingia uwanjani.

Jumanne, 9 Desemba 2014

FAINAL YA MASHINDANO YA WAZI YA TAIFA YA NGUMI YALIVYO MALIZIKA MWISHONI MWA WIKI UWANJA WA NDANI WA TAIFA

 
 Mabondia latifa Halidi  kushoto wa Kigoma na Vumilia Kalinga wa JKT wakioneshana umwanmba wa

COASTAL UNION KUSHEHEREKEA MIAKA 54 YA UHURU NA AFC YA ARUSHA”

 

NA MWANDISHI WETU,TANGA.

TIMU ya soka Coastal Union ya Tanga inatarajia kusheherekea miaka hamsini na nne ya Uhuru wa Tanzania kwa kucheza mechi ya kirafiki na timu ya AFC ya Arusha itakayochezwa kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani Desemba 9 mwaka huu.

Mechi hiyo ni maandalizi kwa timu hiyo kujiandaa na mechi zake za Ligi kuu soka Tanzania bara baada ya mapumziko ya siku kumi kutokana na Ligi kuu kusimama kwa muda ambapo itaendelea Desemba 26 mwaka huu.

Akizungumza na waandishi wa habari leo,Ofisa Habari wa Coastal Union,Oscar Assenga amesema kuwa mechi hiyo itakuwa ni muhimu kwa timu hiyo kujitayarisha kwa ajili ya raundi inayofuata kwenye michuano hiyo.

Amesema kuwa baada ya kumalizika mechi hiyo wataangalia uwezekano wa kutafuta mechi nyengine ya majaribio kabla ya kuanza ligi hiyo ambayo msimu huu imeonekana kuwa na upinzani mkubwa

Aidha amesema kuwa timu hiyo ya AFC yenye makazi yake Mkoani Arusha inatajiwa kuwasili mkoani Tanga Desemba 8 mwaka huu kwa ajili ya mtanange huo lengo likuwa kuziandaa timu zote mbili kwa mashindano yanayowakabili.

Amesema kuwa mechi hiyo ina umuhimu kwa timu zote mbili sisi ni kujiandaa na Michuano ya Ligi kuu Tanzania bara raundi inayofuata na wapinzania wetu  wanajiandaa na Ligi daraja la kwanza hapa nchini.

Hata hivyo amesema kuwa mazoezi ya timu hiyo yameendelea kushika kasi kwenye viwanja vya Mkwakwani mjini Tanga baada ya wachezaji wote waliokwenda mapumziko kurejea kwa asilimia kubwa.

Mwisho.

Miss Tanzania at miss world in London 2014

kkkkkk 

Jumamosi, 6 Desemba 2014

NYOSO ATUA MBEYA CITY FC


Na EmanuelMadafa,Mbeya
Baada ya kumaliza na kufanikiwa kumrudisha kocha wake, Jumma Mwambusi aliyetishia kuondoka katika klabu hiyo kutokana na matokeo mabaya, klabu ya Mbeya City imefanikiwa kumsajili beki kisiki Jumma Nyoso.
Kabla ya kutua Mbeya City, Nyoso alikuwa mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba wake na nyingine ya ligi Kuu ya Coastal Union katika msimu iliopita .
Kusajiliwa kwa beki huyo kisiki aliyewahi kutamba na timu za Simba na Taifa stars, huenda ikasaidia kuiokoa timu hiyo na matokeo mabaya iliyoyapata tangu kuanza kwa ligi kuu ya Tanzania Bara, Septemba 20 mwaka huu.
Katika michezo saba iliyocheza kabla ya ligi kusimama imefanikiwa kushinda mchezo mmoja tu na sare michezo miwili, huku ikifungwa michezo minne.
Hali hiyo ilionekana kuwakera mashabiki wa timu hiyo ambayo msimu uliopita ilipata mafanikio makubwa na kufanikiwa kumaliza ligi ikiwa katika nafasi ya tatu.

Jumla ya Mara Iliyotazamwa