Ratiba ya
michuano kombe la klabu bingwa barani Afrika imepangwa leo ambapo
mabingwa wa Tanzania Bara na wawakilishi wa Tanzania Bara Azam FC
imepangwa kupambana na El Merrekh ya Sudan.
Ikumbukwe timu hizo zilikutana kwenye hatua ya robo fainali ya
michuano ya kombe la Kagame na El merrekh ilifanikiwa kushinda mchezo
huo kwa mikwaju ya penati baada ya dakika 90 kumalizika kwa timu hizo
kushindwa kufungana.
Taarifa zaidi zitafuta………
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni