Mshambuliaji
kinda wa Liverpool, Raheem Sterling akiwa ameshika tuzo yake ya
Mwanasoka Bora chipukizi wa Ulaya mwaka 2014 baada ya kukabidhiwa jana
Uwanja wa Anfield kabla ya timu yake hiyo kumenyana na Arsenal katika
mchezo wa Ligi Kuu ya England uliomalizika kwa sare ya 2-2.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni