Kocha wa Simba, Patrick Phiri akisalimiana na kocha wa Yanga, Marcio Maximo kabla ya mchezo. (Picha zote na
Francis Dande)
Francis Dande)
Kikosi cha Yanga.
Kikosi cha YangaEmmanuel Okwi akiomba dua wakati akiingia uwanjani.
Mgeni rasmi Mh waziri wa michezo Dr Fenella Mukangala akisalimiana na wachezaji wa Yanga.
Mgeni rasmi Mh waziri wa michezo Dr Fenella Mukangala akisalimiana na wachezaji wa Simba.
Kikosi cha Simba.
Kocha wa Yanga akiutafakari mchezo.
Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi akiwa amenyanyua juu
Kombe la Ubingwa wa mechi ya Nani Mtani Jembe msimu wa pili uliofanyika leo kwenye
Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Simba imeshinda 2-0.
Kombe la Ubingwa wa mechi ya Nani Mtani Jembe msimu wa pili uliofanyika leo kwenye
Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Simba imeshinda 2-0.
Waziri
wa Habari Vijana Utamaduni na Mchezo, Dk. Fenella Mukangala akimkabidhi
nahodha wa Simba, Emmanuel Okwi Kombe la Ubingwa wa mechi ya Nani Mtani
Jembe.
Wachezaji wa Simba wakishangilia ushindi wa timu yao.
Umati wa mashabiki wa Yanga.
Umati wa mashabiki wa Simba.
Mashabiki wa Simba wakiwa wamebeba mfano wa jeneza kuwakejeli watani wao Yanga.
Beki wa Yanga, Nadir Haroub ‘Canavaro’ akifanya yake
Beki wa Yanga, Kelvin Yondan akimiliki mpira.
Mwamuzi wa mchezi akimuonyesha kadi ya njano mshambuliaji wa Simba, Simo Serunkuma.
Kpah Sherman akiokoa moja ya hatari langoni mwake huku Elius Maguri akimzonga.
Mshambuliaji wa Simba Elius Maguri akichuana na beki wa Yanga, Nadir Haroub.
Wachezaji wa Simba wakishangilia bao lao la kwanza.
Hassan Isihaka (kushoto) ana Ramadhani Singano ‘messi’ wakishangilia bao la kwanza la timu yao.
Beki wa Yanga, Oscar Joshua akimtoka Elius Maguri wa Simba.
Shabiki wa Yanga akipata msaada baada ya kuzimia jukwaani baada ya kuona hali ya mchezo inavyoenda.
Mashabiki wa Simba wakiwa na bango lenye idadi ya mabao waliyowahi kufungwa Yanga.
Leo ni 2-0….. mpaka kielewekeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Burudani zikitolewa uwanjani.
Mashabiki wakitolewa uwanjani baada ya kuzimia. Hali ikiwa tete kwa Yanga
Hali ilikuwa ngumu kwa mashabiki mpaka baadhi yao kuzimia.
Huduma ya kwanza kwa waliozimia ikitolewa
Beki wa Yanga, Kpah Sherman akichuana na beki wa Simba, Hassan Isihaka.
Danny Mrwanda akiwa ameshika kichwa baada ya kukosa bao la wazi.
Ivo Mapunda akiokoa moja ya hatari langoni mwake.
Simon Msuva akichuana na Issa Rashid.
Ivo Mapunda (katikati) akishangilia ushindi na wenzake.
Wachezaji wa Yanga wakiwa na huzuni baada ya kumalizika kwa mchezo.
Yanga wakiwa vichwa chini.
Medali za washindi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni