Ijumaa, 20 Machi 2015

Mashabiki wa Roma wakimbia uwanjani,wachezaji wafanya kazi ya ziada kuwaomba radhi.

1
Kiungo Danielle De Rossi akizungumza na mashabiki wa Roma…….

Mashabiki wa klabu ya As Roma ya nchini Italia walikimbia uwanjani baada ya kuishuhudia timu yao ikiwa nyuma kwa mabao 3:0 baada ya dakika 22 kwenye mchezo wa marejeano wa raundi ya 16 bora ya kombe ya Europa dhidi ya ndugu zao Fiorentina.

2
Nahodha Francesco Totti ambaye jana hakucheza ilimbidi pia kwenda kuwatuliza mashabiki waliokuwa na hasira.

3
4
mara baada ya Roma kufungwa bao la tatu kwenye dakika ya 22 mashabiki waliamua kuondoka uwanjani kama picha inavyoonyesha hapo juu.

5
Uwanja ukiwa mtupu kipindi cha pili wakati mchezo ukiendelea……

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Jumla ya Mara Iliyotazamwa