Jumanne, 9 Desemba 2014

COASTAL UNION KUSHEHEREKEA MIAKA 54 YA UHURU NA AFC YA ARUSHA”

 

NA MWANDISHI WETU,TANGA.

TIMU ya soka Coastal Union ya Tanga inatarajia kusheherekea miaka hamsini na nne ya Uhuru wa Tanzania kwa kucheza mechi ya kirafiki na timu ya AFC ya Arusha itakayochezwa kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani Desemba 9 mwaka huu.

Mechi hiyo ni maandalizi kwa timu hiyo kujiandaa na mechi zake za Ligi kuu soka Tanzania bara baada ya mapumziko ya siku kumi kutokana na Ligi kuu kusimama kwa muda ambapo itaendelea Desemba 26 mwaka huu.

Akizungumza na waandishi wa habari leo,Ofisa Habari wa Coastal Union,Oscar Assenga amesema kuwa mechi hiyo itakuwa ni muhimu kwa timu hiyo kujitayarisha kwa ajili ya raundi inayofuata kwenye michuano hiyo.

Amesema kuwa baada ya kumalizika mechi hiyo wataangalia uwezekano wa kutafuta mechi nyengine ya majaribio kabla ya kuanza ligi hiyo ambayo msimu huu imeonekana kuwa na upinzani mkubwa

Aidha amesema kuwa timu hiyo ya AFC yenye makazi yake Mkoani Arusha inatajiwa kuwasili mkoani Tanga Desemba 8 mwaka huu kwa ajili ya mtanange huo lengo likuwa kuziandaa timu zote mbili kwa mashindano yanayowakabili.

Amesema kuwa mechi hiyo ina umuhimu kwa timu zote mbili sisi ni kujiandaa na Michuano ya Ligi kuu Tanzania bara raundi inayofuata na wapinzania wetu  wanajiandaa na Ligi daraja la kwanza hapa nchini.

Hata hivyo amesema kuwa mazoezi ya timu hiyo yameendelea kushika kasi kwenye viwanja vya Mkwakwani mjini Tanga baada ya wachezaji wote waliokwenda mapumziko kurejea kwa asilimia kubwa.

Mwisho.

Miss Tanzania at miss world in London 2014

kkkkkk kkkkkk2kkkkkk5 kkkkkkkk3 kkkkkkkkk1Miss happiness is in town in time for the festive season, the she will experience the famous Christmas spirit that can be found in England’s capital city. For a little over 3 weeks, the contestants will experience the wonder of England’s vibrant multicultural metropolis whilst she takes part in the Miss World Challenge Events and prepare herself for the Big Final!
Events start from 20th November, culminating in the Grand Final on 14th December. She is in high spirit and for the first time , Tanzania has a big chance of becoming one of the big three.
Tanzanians and friends of Tanzania, there is so much you can do to help her out:
 So how does it work?
 Simply download the Miss World App, and you will find you have three slots available for your vote. Once you have decided who your top three are, you can lock in your vote and voila!, you have helped your favourite contestants on their way to being the People’s Choice Award Winner! The winner of the People’s Choice Award is announced during the latter stages of the Miss World Final, and the winner, if she is not already selected, will join the final few contestants on stage. These contestants will then face the judges questions before the winner of Miss World 2014 is announced!
                                                            How many votes do I get?
 This year, you will be allowed one set of three votes, with a bonus set of three votes if you choose to subscribe to the app, which also includes the full Miss World TV coverage of the competition. The most votes any one contestant can receive from an individual is 2 votes. Each set of votes must be for 3 different contestants.
 I can’t find the voting page on the App, am I doing something wrong?
 Voting begins on the 20th of November. Until then you will not be able to vote for your favourite contestant. This is to ensure no votes are lost if a contestant has to pull out at the last minute!
 I haven’t decided yet who my 3rd favourite is, when do I have to submit my vote?
Don’t worry! You have plenty of time to decide. The app will hold onto your choices until you make your final submission. Voting closes one hour after the start of the Miss World Final Show. Once you have submitted your votes, there is no going back, so make sure you vote right!
The time is now to support Tanzania beauty at the world stage

MASHINDANO YA WAZI YA UBINGWA WA TAIFA YANAVYO ENDELEA KATIKA UWANJA WA NDANI WA TAIFA

Mabondia Abuu Said wa JKT akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Adolf Emanuel wa Kigoma wakati wa mashindano ya wazi ya taifa yanayoendelea katika uwanja wa ndani wa taifa Said alishinda mpambano huo na kuingia fainali 
Picha na SUPER D BOXING NEWS
Uringo mpya wa Shirikisho la ngumi za Ridhaa Nchini BFT walipewa na kampuni ya simu za mkononi ya Zantel hivi karibuni wakiufanyia majaribio ya kuuchezeshea ngumi kabla ya makabidhiano rasmi na kampuni hiyo
Baadhi ya viongozi wa mchezo wa ngumi nichini wakifuraia jambo wakati wa mashindano ya taifa ya ngumi yanayo endelea katika uwanja wa ndano wa taifa kutoka kushoto ni Meja Rodgers Daudi  ambae pia ni refarii na jaji wa mchezo wa masumbwi Mjumbe wa maendeleo ya wanawake  BFT Aisha Voniatis  na Katibu mkuu wa chama hicho Makore Mashaga 
Picha na SUPER D BOXING NEWS


VIONGOZI WAKIFATILI MCHEZO WA MASUMBWI UNAVYO ENDEREA
Mabondia Bosco Bakari wa JKT  kushoto akioneshana umwamba kutupiana makonde na Atanas Emanuel wa Kigoma wakati wa mashindano ya wazi ya taifa yanayoenderea katika uwanja wa ndani wa taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS
Wadau wa mchezo wa masumbwi nchini wakipiga picha mbele ya uringo mpya wa BFT kutoka kushoto ni Mjumbe wa maendeleo ya wanawake  BFT Aisha Voniatis  rais wa TPBO na mdau mkubwa wa mchezo wa masumbwi nchini SUPER DIEGO wa Mapambano
Mabondia Babu Luda wa Morogoro  kushoto na Victor Njaiti wa JKT wakioneshana umwamba wa kutupiana makonde wakati wa mashindano ya wazi ya ubingwa wa taifa yanayo enderea uwanja wa ndani wa taifa Njaiti alishinda mpambano huo na kuingia fainali Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Fred Julius wa Kigoma  kushoto akitupiana makonde  na  Robert Kyaruzi wa Bukoba wakati wa mashindano ya Taifa ya mchezo wa masumbwi nchini yanayo enderea katika uwanja wa ndani wa Taifa Kyaruzi alishinda kwa K,o ya raundi ya pili Picha naSUPER D BOXING NEWS
Mabondia Babu Luda wa Morogoro  kushoto na Victor Njaiti wa JKT wakioneshana umwamba wa kutupiana makonde wakati wa mashindano ya wazi ya ubingwa wa taifa yanayo enderea uwanja wa ndani wa taifa Njaiti alishinda mpambano huo na kuingia fainali Picha na SUPER D BOXING NEWS

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Jumla ya Mara Iliyotazamwa