Jumatano, 8 Aprili 2015

YANGA SC YAIFUNGA COASTAL UNION MABAO 8-0

Muonekano wa TV ya Uwanja wa Taifa baada ya mechi.

Mshambuliaji wa Yanga, Kpah Sherman
TIMU ya Yanga SC imeifunga Coastal Union mabao 8-0. Wafungaji Amiss Tambwe amefunga manne, Msuva mawili, Telela, Sherman. Mechi imemalizika Uwanja wa Taifa.
Yanga SC: Ally Mustafa ‘Barthez’, Juma Abdul, Oscar Joshua/Edward Charles dk77, Nadir Haroub ‘Cannavaro’, Kevin Yondan, Mbuyu Twite/Hassan Dilunga dk67, Salum Telela, Haruna Niyonzima, Amisi Tambwe, Kpah Sherman/Nizar Khalfan dk70 na Simon Msuva.
Coastal Union: Bakari Fikirini, Juma Hamad, Abdallah Mfuko, Yussuf Chuma, Bakari Mtama, Abdulhalim Humud, Mohamed Ally, Yahya Ayoub, Rajab Mohamed/Mohammed Shekuwe dk57, Ike Bright Obinna/Mohamed Mtindi dk64 na Rama Salim/Abbas Athuman dk46.
Matokeo mengine ya leo Azam FC 1 - 1 Mbeya City.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Jumla ya Mara Iliyotazamwa