Ijumaa, 6 Februari 2015
DKT. BILAL AMFARIJI JAJI MSTAAFU AUGUSTINO RAMADHANI KWA KUFIWA NA MAMA YAKE MZAZI
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya M uungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal akisaini kitabu cha kumbukukmbu kufuatia kifo cha mama mzazi wa
Jaji Mkuu mstaafu Augustino Ramadhani nyumbani kwake Kimara leo Februar
06, 2015 alipofika kwa ajili ya kumfariji.
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya M uungano wa Tanzania Mhe. Dkt.
Jeshi la Polisi lashiriki kuzindua magari mapya ya kampuni ya ulinzi ya Security Group Afrika Jijini Dar
Mwakilishi
wa Mkuu wa Jeshi la polisi nchini Kamishina wa Polisi Mussa Ally Mussa
akiwa na mkuu wa jeshi la polisi mstaafu Philimon Mgaya akikata utepe wa
kuashiria kuzindua magari mapya Zaidi ya ishirini ya kampuni ya ulinzi
ya Security Group Africa ambayo yataanza kutumika katika kazi mbalimbali
za kampuni hiyo hivi karibuni.Katikati yao ni mkurugenzi mkuu wa
kampuni hiyo Eric Sambu.
Mwakilishi wa Mkuu wa jeshi la polisi nchini Kamishina wa Polisi Mussa
TANZANIA KUBADILISHANA WAFUNGWA NA NCHI ZA THAILAND NA MAURITIUS
Na Lorietha Laurence-Maelezo,Dodoma
SERIKALI
ya Tanzania imeingia mkataba wa kubadilishana wafungwa kwa nchi za
Thailand na Mauritius ambapo hadi sasa Tanzania imeweza kupokea wafungwa
kumi kutoka nchi hizo kutekeleza mkataba huo.
MASHABIKI WA WEMA SEPETU WAPANIC MARA BAADA YA DIAMOND THE PLATNUMZ KUPOST PICHA NA KUTAKA MASHABIKI WAKE WAMCHAGULIE MTOTO WA KUPATA
Baada ya diamond the platnumz kupost picha na kuwaambia mashabiki wamchagulie kama anataka mtoto wa kiume au wa kike, katika mtandao wa kijamii wa instagram ilioneka moja wa shabiki wa wema huko insta analotumia jina la @wemaselfie hakukubaliana na kitendo hicho na kuyaandika maneno ya fuatayo: Yani sinawahi kuona.. mtuu anae pend attention kama blaza domo... dah... sumtz na wish wa tanzania
ASKARI WA JWTZ AUWAWA NA WANANCHI- MBEYA
KUTOKA MBEYA:
Raia waua askari wa jwtz mbalizi mmoja na mwingine mahututi amekimbizwa hospital ya rufaa mbeya section mmoja ffu iko eneo la tukio.
Raia waua askari wa jwtz mbalizi mmoja na mwingine mahututi amekimbizwa hospital ya rufaa mbeya section mmoja ffu iko eneo la tukio.
Jumatano, 4 Februari 2015
MSIBA: MJUMBE WA HALMASHAURI KUU TAIFA CCM NEC KWA WILAYA YA LUDEWA ELIZABETH AUGUSTINO HAULE AMEFARIKI DUNIA USIKU WA KUAMKIA TAREHE 5/02/2015 KATIKA HOSPITALI YA WILAYA YA LUDEWA
Moja ya story za mitandaoni, ni dalili za mgogoro wa Jay na Bey
TIC YAKUTANA NA UJUMBE WA WAFANYABIASHARA KUTOKA NCHINI UJERUMANI
Mkurugenzi
Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC),Juliet
Mke wa Rais wa Ujerumani, Bi Daniella Schadt atembelea Dawati la Jinsia na Watoto katika Kituo cha Polisi Temeke leo
Mke wa Rais wa Ujerumani, Bi Daniella Schadt akisalimiana na maofisa wa Jeshi la Polisi wakati alipotembelea Dawati la Jinsia na Watoto katika Kituo cha Polisi Cha Temeke leo.
KIJANA ACHOMWA KISU, KISA MGAWO WA FEDHA HUKO MARA!
Bw. Mugusuhi Nyarusahe (39) aliyecharangwa kwa visu na wenzake.Stori:Gregory Nyankaira, Butiama/Risasi Mchanganyiko
MTU mmoja, Mugusuhi Nyarusahe (39) mkazi wa Kijiji cha Kinyambwiga
wilayani Bunda, amelazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi (ICU), cha
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mara baada ya kucharangwa visu na wenzake
tumboni, katika kile kilichodaiwa kuwa ni mzozo wa mgawo wa fedha
Jumapili, 1 Februari 2015
Uchaguzi Mkuu 2015: Umuhimu wa LOWASSA na Uzalendo wa Watanzania
IPUMBA AKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI LEO NA KUZUNGUMZA KWA UCHUNGU KWA KUPIGWA NA POLISI KWENYE MAANDAMANO...AMTAKA KIKWETE AFUTE KESI
Mwenyekiti wa profesa CUF IBRAHIM LIPUMBA akiwasili katika mkutano huo
Kwa
mara ya Kwanza tangu kutokea kwa vurugu za
DIAMOND PLUTNAMZ ATUA NA MPENZI WAKE ZARI MJINI SONGEA
Mwanamuziki
Diamond Platnumz na mpenzi wake Zari wakiwasili kwenye uwanja wa ndege
wa Songea tayari kwa kufanya onesho kubwa kwenye sherehe za miaka 38 ya
kuzaliwa kwa CCM zinazofanyika kwenye uwanja wa Majimaji mjini Songea
leo ambapo viongozi mbalimbali wakiongozwa na Mwenyekiti wa chama hicho
Dr. Jakaya Kikwete.PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-SONGEA.Diamonda Plutnamz akiongozana na mpenzi wake Zari wakiondoka kwenye uwanja wa ndege wa Songea kuelekea hotelini.
KIKWETE AONGOZA SHEREHE ZA MIAKA 38 YA KUZALIWA CCM MJINI SONGEA
Mwenyekiti
wa Chama Tawala cha CCM,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na maelfu
ya wananchi wakati akiingia katika uwanja wa MajiMaji mjini Songea leo
kuongoza kilele cha sherehe za kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM.
Mwenyekiti
wa Chama Tawala cha CCM,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa viongozi
mbali mbali wa CCM wakati akiingia
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)