Ijumaa, 20 Machi 2015

BREAKING NEWZ: BASI LA NGANGA LATUMBUKIA MTARONI KULIKWEPA LORI


Abiria wapatao 65 wamenusurika kifo baada ya dereva wa Bus la Nganga Express linalo fanya safari yake Mbeya - Dar, baada ya kulikwepa Lori uso kwa uso na kulitosa kwenye mtaro ilikoa roho za abiria wa Bus hilo.Majeruhi wa5 wamekimbizwa hospitali ya rufaa Mbeya.
Ajari imetokea Mbeya kijiji cha Lilongo asbh hii majira ya 12.48.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Jumla ya Mara Iliyotazamwa