Naibu
Inspekta Jenerali wa Polisi,DIGP, Abdulrahmani Kaniki akikagua gwaride
la wakaguzi wasaidizi wa polisi wakati wa sherehe ya kufunga mafunzo ya
maofisa hao katika chuo cha polisi Moshi.
Naibu
Inspekta Jenerali wa Polisi,DIGP, Abdulrahmani Kaniki akimvisha cheo wp
2704 ssgt Batuli kuwa mkaguzi msaidizi wa jeshila polisi wakati wa
sherehe ya kufunga mafunzo ya maofisa hao katika chuo cha polisi Moshi.
Wahitimu
wa kozi ya mkwaguzi msaidizi wa jeshi la polisi wakipita kutoa heshima
kwa mgeni rasmi wakati wa sherehe ya kufunga mafunzo ya maofisa hao
katika chuo cha polisi Moshi.
Wahitimu
wa kozi ya mkwaguzi msaidizi wa jeshi la polisi wakiimba kumkaribisha
mgeni rasmi wakati wa sherehe ya kufunga mafunzo ya maofisa hao katika
chuo cha polisi Moshi. Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni