Filikunjombe akikabidhi vifaa vya michezo kwa wananchi wa mtaa wa kanisa B
Hii ni Pikipiki aliyoitoa Filikunjombe kwa wananchi wa mtaa wa kanisa B ili kusimamia mradi wa maji kwa fundi wa mtaa huo
Filikunjombe akiongea na wananchi wa mtaa wa Kanisa
Pikipiki ya Fundi wa maji katika mtaa wa kanisa iliyotolewa na Filikunjombe hivi karibuni
Juhudi za
kutatua kero ya uhaba wa maji safi nasalama katik mji wa Ludewa zimeanza kutia
matumaini kutokana na ujenzi wa kisima cha maji katia mtaa w Kanisa B ambapo
wananchi wa mtaa huo wameanza kunufaika na mradi huo wa maji ambao unasimamiwa
na wananchi wenyewe.
Aidha katika
mipango yake Filikunjombe alisema huo ni mradi wa majaribio kama utafanikiwa
kwenda vizuri basi atajitahidi kuchimba visima hivyo katika mitaa yote ya mji
wa Ludewa wakati ikisubiriwa miradi mikubwa ya Serikali ya kusambaza maji kwa wananchi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni