Dk
Iyyovngchan Ktm kutoka Shirika la Maendele la Korea (KOICA) akisisitiza
jambo kwa Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa wakati kwa
kuagana na watumishi sita wa afya wa Manispaa hiyo waliopata nafasi ya
kwenda kuongeza ujuzi nchini Korea Kusini chini ya ufadhiliwa KOICA kwa
ajili ya kuboresha huduma katika hospitali itakayojengwa Chanika.Kulia
kwa Dr Iyyovngchan ni Afisa kutoka KOICA Seongbeom Ktm na wengine ni
watumishi wataokwenda Korea.
Mstahiki
Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa akipeana mkono wa kuagana na
Mganga Mfawidhi wa zahanati ya Chanika Dk Betha Sanga ambaye pamoja na
watumishi wengine sita wa afya wa Manispaa hiyo wamepata udhamini wa
Serikali ya Korea Kusini kupitia Shirika lake la Maendeleo KOICA kwenda
kuongeza ujuzi nchini Korea Kusini kwa ajili ya kuboresha huduma katika
hospitali itakayojengwa Chanika. Wengine ni Dk Agatha Shinyala na Dk
Mary Machemba wa Amana Hospitali. Nyuma ya Meya ni Afisa kutoka KOICA
Seongbeom Ktm.
Mstahiki
Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa akiagana na Afisa kutoka shirika
la Maendeleo la Korea Kusini (KOICA) Seongbeom Ktm muda mfupi baada ya
hafla ya kuwaaga watumishi sita wa wa afya wa Manispaa ya Ilala
waliopata nafasi ya kenda kuongeza ujuzi nchini Korea Kusini chini ya
ufadhiliwa KOICA kwa ajili ya kuboresha huduma katika hospitali
takayojengwa Chanika. Kati kati ni Dk Iyyovngchan Ktm kutoka KOICA
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni