GARI LA LUINZO LAGONGANA USO KWA USO NA GARI LA MSANGA EXPRESS NA KUUWA WATU WANNE
Watu
wa nane wamefariki Dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa kufuatia ajali ya
Basi la Luinzo lililokuwa likitokea njombe kwenda DSM kugongana na gari
la Msanga EXPRESS lililokuwa likitokea morogoro kwenda Mahenge wakati
likijaribu kulipita lori lililokuwa mbele yake katika Eneo la hifadhi ya
Mikumi Barabara ya Iringa Morogoro hapo jana.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni