Jumanne, 17 Machi 2015

FILIKUNJOMBE AWAFUNDA WAJASILIAMALI WILAYANI LUDEWA

Filikunjombe akiongea na wajasiliamali



Katibu wa kampuni ya Decision Foundation
Mwenyekiti wa chama cha wafanyabiashara wilaya ya Ludewa Bw.Donota Mgeni
wajasiliamali wakifuatilia mafunzo





Mbunge wa jimbo la Ludewa kupitia chama cha mapinduzi(CCM) Mh.Deo Filikunjombe ametoa ufadhiri wa kuitafuta kampuni ya mafunzo ya ujasiliamali iitwayo decision Foundation ambayo imetoa mafunzo ya ujasiliamali kwa wajasiliamali wapatao 15 ili kuwapatia ujuzi wa kibiashara utakaoendana na soko la kibiashara katika migodi ya madini ya Chuma na Liganga inayotarajia kuanzishwa wilayani hapa.

Akifunga mafunzo hayo Filikunjombe aliwataka wajasiliamali hao kuchangamkia Fulsa za biashara ambazo zinatarajia kupatika hivi karibuni.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Jumla ya Mara Iliyotazamwa