Askari Polisi akikagua katika begi la mmoja kati ya watu wanaotoka
ndani ya uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere leo ambapo
askari hao wamesimama usawa wa geti la kutokea magari na kusimamisha
baadhi ya magari na kisha kukagua mabegi kama hivi, jambo ambalo
limelalamikiwa na baadhi ya wananchi ambao wamekuwa wakisumbuliwa na
askari hao ambao wamekuwa wakichagua baadhi ya magari ya kuyakagua kama
hivi.
Askari huyo akihamaki kupigwa picha.
Akifurahia ukodaki baada ya kugundua amepigwa picha huku akirejesha
begi hilo garini baads ya kuhakiki alichokuwa akihisi kuwa hakuna.
CREDIT:SUFIANIMAFOTO
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni