21-January-2015.
Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI inatangaza orodha ya
Majina 4352 ya watumishi wa Umma waliohamishwa katika Mamlaka za
Serikali za Mitaa nchini Januari 2015. Aidha orodha ya watumishi 96
ambao hawakukidhi vigezo vya kuhama nayo imetangazwa.
Maelekezo yote muhimu yapo katika barua ambayo kila mtumishi atapatiwa kupitia kwa Wakurugenzi wa Mamlaka wanazotoka.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni