Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na viongozi wenzie leo kabla ya kuanza kwa
mkutano wa utiaji saini makubaliano ya kukiunganisha upya chama cha SPLM
cha Sudani Kusini katika hoteli ya Ngurdoto jijini Arusha. Kutoka
kushoto ni Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilal,, Naibu Rais wa
Afrika Kusini, Mhe Cyril Ramaphosa, Rais Yoweri Museveni wa Uganda,
Rais Kikwete, Rais Salva Mayardit Kiir, wa Sudani ya Kusini, Rais Uhuru
Kenyatta wa Kenya na Makamu wa Rais wa Zamani wa Sudani ya Kusini Dkt
Riek Machar,
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya leo kabla ya kuanza kwa mkutano wa utiaji
saini makubaliano ya kukiunganisha upya chama cha SPLM cha Sudani Kusini katika hoteli ya Ngurdoto jijini Arusha.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais Yoweri Museveni leo kabla ya kuanza kwa mkutano wa utiaji saini
makubaliano ya kukiunganisha upya chama cha SPLM cha Sudani Kusini katika hoteli ya Ngurdoto jijini Arusha.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mjane wa Mwenyekiti wa Zamani wa
SPLM Mama Rebecca Nyandeng Garang de Mabior leo Jumatano kabla ya
kuanza kwa mkutano wa utiaji saini makubaliano ya kukiunganisha upya
chama cha SPLM cha Sudani Kusini katika hoteli ya Ngurdoto jijini
Arusha.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na viongozi wenzie leo kabla ya kuanza kwa
mkutano wa utiaji saini makubaliano ya kukiunganisha upya chama cha
SPLM cha Sudani Kusini katika hoteli ya Ngurdoto jijini Arusha. Kutoka
kushoto ni Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilal,, Naibu Rais wa
Afrika Kusini, Mhe Cyril Ramaphosa, Rais Yoweri Museveni wa Uganda,
Rais Kikwete, Rais Salva Mayardit Kiir, wa Sudani ya Kusini, Rais Uhuru
Kenyatta wa Kenya na Makamu wa Rais wa Zamani wa Sudani ya Kusini Dkt
Riek Machar. PICHA NA IKULU
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni