Mr Dannis
akiwa na Msouth kato baada ya kumtembelea kijana ambaye ni mwanafunzi
wa Udom aliyepata majanga ya kuvunjika mguu baada ya kuruka kwenye gari
na kutaka kuwakwepa Polisi waliokuwa wanahakikisha usalama unapatikana
katika chuo hicho cha Udom kutokana na baadhi ya wanafunzi kuwashawishi
wanzao kufanya maandamano yasiyokuwa ya Maani kutokana na kile
kinachodaiwa kutopata Mkopo kwa muda unaostahili
Kijana
ambaye ni mwanafunzi wa Udom anayefahamika kwa jina la Iddy aliyepata
masaibu baada ya kuvunjika mguu katika vurugu za mgomo uliyofanywa na
wanafunzi wa Udom wa college ya social science.. Kijana Iddy ambaye amelazwa katika hospitali ya General Dodoma leo hii amepatiwa msaada Mh Shabiby wa fedha za
matibabu
pamoja na while chair baada ya kuzuiliwa kutoka hospitali hapo nkutokana
na deni kubwa la matibabu aliyokuwa anadaiwa hospitalini hapo..
Paparazi wa blog ya Boss Ngasa alifanikiwa kupata nafasi ya kuongea na
mzazi wa mwanafunzi huyo na kudai kuwa aliambiwa atapata msaada kutoka
chuoni hapo lakini cha kushangza mpk muda huu wa jioni hatujapa msaada
wowote kutoka chuo hicho zaidi ya kupigwa chenga na kutupiana mpira..
Baba wa kijana huyo ametoa shukrani za pekee kwa Mh Shabiby baada ya
kuguswa kiubinadamu na kumsaidia kijana wake... Kijana Iddy kwa sasa
anaendelea vizuri
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni