Katika Uvaaji Wa Shanga Kuna Makundi Mawili Kundi La Kwanza Huvaa Shanga Kwa Ajili Ya Kumvutia Mwanaume Pindi Anapomvulia Nguo Mwanaume, kundi La Pili Huvaa Shanga Kwasababu Ngozi Zao Zimepoteza Hisia Kwa Ajili Ya Kushikwa Mara Kwa Mara Na Mikono Ya Kiume. Hivyo Anapovaa Shanga Zinamsaidia Kuamsha Hisia Pindi Mwanaume Anapozichezea Vilevile Shanga Huleta Msisimuko Kwa Mwanamke Ambao Humfanya Ajisikie Raha Isiyo Kifani Ndio Maana Wadada Wengi Hupenda Kuzivaa.
Pia uvaaji wa shanga unaendana na utandikaji wa mashuka,mpenzi wako akitandika shuka jeupe/jeusi/jekundu huwa ana maana yake hivyo yakupasa kumuelewa
NB:MADADA WENGI HAWAJUI NAMNA YA KUZIVAA UTAKUTA KAVAA ZOTE TATU HALAFU SIYO WASTAARABU ZINAONEKANA HADHARANI
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni