Ijumaa, 23 Januari 2015

WANANCHI WAMFANYIA VURUGU MWENYEKITI WA MTAA WA KIGOGO FRESH ANAYEDAIWA KUTAKA KUAPICHWA KINYEMELA

Askari wa Kikosi cha Kutulia Ghasia (FFU), akijaribu kumwokoa mtu aliyejulikana kwa jina la Mariano Haruna baada ya kupewa msukosuko na wananchi wenye hasira, ambaye
alidaiwa kuletwa kuapishwa kinyemela kama Mwenyekiti wa Mtaa wa Kigogo Fresh Kata ya Pugu (CCM),  wakati wa zoezi la kuwapisha lililofanyika jijini Dar es SalaamHaruna akiondolewa katika ofisi za Manispaa ya IlalaAskari akilazimika kumuondoa katika ofisi za Manispaa ya Ilala ampako zoezi la kuwaapisha wenyeviti lilikuwa likiendelea.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Jumla ya Mara Iliyotazamwa