Alhamisi, 22 Januari 2015

UREMBO BILA MEKAP MMMMMMMMMMMMMMMMHHHHHHHHHHH!!!!!!!!!!!!!!!!!




Kuna msemo usemao umaridadi huficha umaskini, kila mtu hupenda kujiweka aonekane poa mbele za watu.Mastaa wa kike na makeup zao kwenye red carpet, kwenye TV ni hatari hatari, ushawahi kuwaona wakiwa hawajatupia hivyo vitu? 
Wacheki hawa hapa mtu wangu. 
1. Kim Kardashian 
2. Jennifer Lopez 
3. Lady Gaga 
4. Tyra Banks 
5. Madonna Louise 
6. Jessica Simpson 
7. Britney Spears 
8. Katy Perry
9. Kate Hudson 
10 Robyn Rihanna Fenty (Rihanna) 
11. Beyonce Knowles 
12. Khloe Kardashian (Mdogo wa Kim Kadarshian)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Jumla ya Mara Iliyotazamwa