Alhamisi, 22 Januari 2015

MAUAJI YATOKEA NA KUWACHANGANYA WATU AKILI LUDEWA................

 
Habari ambazo zimetufikia hivi punde ni kuwa kijana anayefahamika kwa jina la JANUARY MTITU (MGALAVANU) amepigwa risasi na kufa usiku wa kuamkia leo. chanzo cha kuuawa kwake bado hakijajulukana.
Tukio hilo limetokea wakati mzazi wake Mr. Mgalavanu ambaye ni Mwalimu wa Sekondari katika shule ya Chief Kidulile akiwa anaumwa kutokana na Ajali ya pikipiki.
Ni habari ngumu sana inayoumiza vichwa vya wengi mjini hapa Ludewa kwani ni tukio la ajabu ambalo halijawahitokea kwa siku za hivi karibuni.
Endelea kufuatilia mtandao huu tutaendelea kukujuza nini kinaendelea......................... 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Jumla ya Mara Iliyotazamwa