Leo ni leo. Jumamosi, Januari 24; saa 5 ofisini kwake. Mada kuu ni
Escrow. Amewaita waandishi wa habari ili kutoa ya mayoni , haijulikani
anataka kusema nini na kuchukua hatua gani , inasemekana kuna viongozi
viti havikaliki kwa vile kuna wasiwasi akalipua bomu ambalo halijulikani
.
Bunge linatarajia kuanza week ijayo na kuna wabunge wameapa kuwa Muhongo na Chenge wakiingia bungeni siku hiyo hapata kalika.
Nini Maoni yako ya ya hii habari?
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni