Filikunjombe akiwaaga wananchi ambao walizuia gari asiondoke ili waendelee kuzungumza naye
Hivi ni baadhi ya vifaa alivyovitoa katika vikundi vya vijana kata ya Mawengi
Hivi ni baadhi ya vifaa alivyovitoa katika vikundi vya vijana kata ya Mawengi
licha ya kuwa na ulinzi wa mgambo wananchi humzuia asiondoke
Mbunge wa
jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe amendelea kuwa kivutio kwa wananchi wake pale
anapopita katika vijiji mbalimbali na kutoa misaa hali ambayo huwa vigumu kwake
anapofunga mikutano yake wananchi humtaka asiondoke ili wabaki wakiongea naye.
Hali hiyo
imejitokeza katika kata ya Mawengi na nyingine ambapo wazee wa vijiji huingilia
kati kwa kuongea na wananchi ili wamruhusu aendelee na safari zake hata kama
wanampenda kupita kiasi cha kuzuia gari ili abaki waendelee kuzungumza naye.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni