STAA WA HOLLYWOOD DOLPH LUNDGRED AMKOJOLEA MWENZAKE KWENYE NDEGE...TAZAMA PICHA
Dolph
Lundgred amemkojolea star mwenzie Methew Pritelard baada ya kulewa
pombe iliyochanganywa na madawa.Kilevi kikamfanya aweuke nakukojoa hovyo
kwenye ndege hiyo binafsi.Hata hivyo kwenye ukurasa wake wa twitter
ameomba masamaha kwa msanii mwenzake na mashabiki kwa kle alichokifanya.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni