Shehe
wa mkoa wa mbeya kulia Ndugu Mohamed Mwansansu pamoja na Askofu Thomas
Kongolo mwakilishi wa jukwaa la wakristo mkoa wa mbeya kwa pamoja
wakimkabidhi tuzo Mheshimiwa Makongoro Nyerere (Mb) afrika mashariki kwa
niaba ya familia ya Hayati Baba wa Taifa Mwl.Julias Nyerere tuzo ambayo
imetolewa na viongozi hao wa dini kwa kutambua mchango na utumishi
uliotukuka kwa Baba wa taifa mwalimu Nyerere , hafla ambayo imefanyika
katika ukumbi wa mikutano wa Mkapa jijini mbeya Mei 25 mwaka huu. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni