Meja Generali Joseph Furaha Kapwani akizungumza wakati wa ufunguzi wa
Mkutano wa Utangulizi wa Mkutano wa Majeshi ya Anga yalioko chini ya
Kusini mwa Afrika, unaotarajiwa kufunguliwa kesho katika ukumbi wa
hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar akizungumza na Wajumbe
wa Mkutano huo.
Wajumbe washiriki wa Mkutano huo wakimsikiliza Meja Generali Joseph
Furaha, akizungumza wakati wa mkutano huo uliofanyika katika hoteli ya
Zanzibar Beach Resort Zanziba.
Wajumbe kutoka Angola wakiwa katika ukumbi wa mkutano wa utangulizi wakifuatilia mkutano huo.
Wajumbe wa kutoka Nchini Zimbabwe wakiwa katika ukumbi wa mkutano.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni