Ijumaa, 17 Aprili 2015

BASI LATUMBUKIA MTONI NA KUUWA 19 MBEYA Picha 4 kutoka kwenye ajali ya gari iliyoua 19 Mbeya leo.

ajali Mbeya 
Ajali za Tanzania kwenye vichwa vya habari zimezidi kuongezeka, leo April 17 2015 ajali nyingine imetokea Mbeya baada ya gari la abiria kupoteza mwelekeo na kuingia mtoni Mbeya.
Taarifa zilizothibitishwa na kamanda wa Polisi Mbeya zinasema waliofariki mpaka sasa ni 19, endelea kukaa karibu na www.tangakumekucha.blogspot.com kwa taarifa zaidi.
ajali 2
ajali 3
Ajali 4

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Jumla ya Mara Iliyotazamwa