Rais Kikwete Akutana na Rais Mstaafu wa Marekani Bill Clinton jijini Dar es Salaam
Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akimkaribisha Rais Mstaafu wa Marekani Mhe Bill Clinton Ikulu
jijini Dar es salaam jana April 29, 2015.
Rais
Jakaya Kikwete akifanya mazungumzo na Rais Mstaafu wa Marekani Mhe Bill
Clinton (kushoto) Ikulu jijini Dar. Rais huyo wa 42 wa Marekani yuko
nchini kukagua miradi ya maendeleo na afya inayofadhiriwa na taasisi za
Clinto Development Initiative (CDI) na Clinto Health Access Initiative
(CHAI).
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni