Jumamosi, 11 Aprili 2015

Hamisa Mabeto Ajifungua Mtoto wa Kike


Mwanamitindo kiwango Bongo, Hamisa Hassan Mobeto amejifungua mtoto wa kike hivi karibuni na kuwashangaza wengi kwani mimba hiyo ilikuwa na usiri mkubwa tofauti  na wafanyavyo mastaa wengine.
Mpekuzi blog

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Jumla ya Mara Iliyotazamwa