Waziri Mkuu,
Mizengo Pinda akisalimiana na washiriki wa Kongamano la Takwimu barani
Afrika baada ya kufungua mkutano wa kwenye Hoteli ya Firaffe Ocean View
jijini Dar es salaam. Kushoto kwake ni Mkurugenzi wa Ofisi ya Takwimu ya
Taifa, Dr. Albina Chuwa, kulia ni Irena Krizman kutoka Slovenia na
wapili kulia ni Pali Lehohla kutoka Afrika ya kusini.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni