BREAKING NEWS: WATU 20 WAMEFARIKI KWA KUFUNIKWA NA KIFUSI, KAHAMA
Wachimbaji madini wadogo 20 waliokuwa wakichimba katika machimbo ya
dhahabu ya Kalole wilayani Kahama mkoa wa Shinyanga, wamefariki dunia
baada ya kufunikwa na kifusi usiku wa kuamkia leo. Mungu azilaze roho za marehemu mahali peponi
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni