Taarifa kutoka Moshi mkoani Kilimanjaro zinazema kuwa majambazi yamevamia gari dogo aina ya Hiace lililokuwa limebeba fedha, mali ya Bonite Bottlers na kuwaua dereva na mlinzi wa kampuni kwa kupiga risasi na kisha kutoweka na fedha.
Tukio hilo linaelezwa kutokea karibu na kituo cha watoto yatima cha Soweto ambayo imepakana na redio Kili FM.
- wavuti.com imepokea picha kupitia WhatsApp lakini kwa heshima ya marehemu na stara ya familia, imeamua kutokuzichapisha katika taarifa hii.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni